Breaking

Showing posts with label . BIASHARA. Show all posts
Showing posts with label . BIASHARA. Show all posts

Thursday, May 3, 2018

7:32 AM

Mbinu 3 Za Kugundua Fursa Za Kibiashara Mahali UlipoKila kitu ambacho unakiona mbele ya macho yako ni lazima ukitafakari katika ubongo usiokuwa wa kawaida, yaani ni lazima uwaze kitakupaje pesa.

Aangalia njia ya kuzitambua fursa katika eneo lako unaloishi.

1. Tafuta mahitaji ya watu.
Kila mahali unapoishi kwa namna moja ama nyingine watu huwa wanahitaji huduma au bidhaa fulani. Hivyo ni vyema ukaa chini na kutafakari ni vitu gani unadhani watu wanahitaji nini zaidi ? Baada ya kupata majibu ni wakati wako muafaka wa kuweza kuvisogeza kwa watu hao na wao wakanunua. Kufanya hivyo ni njia nzuri ya wewe kupata pesa. Pia watu wengi hupenda Huduma ambayo inapatikana kwa rahisi hivyo fanya uchunguzi wa kutosha na kuona watu wanapenda nini zaidi kuzisogeza huduma hizo kwa watu.

2. Toa majibu ya changamoto za watu.
Kuna swali la msingi sana la kuujiuliza juu ya maisha yako. Swali lenyewe ni kama lifuatavyo hivi ni kwa nini huna pesa? Ukipata majibu ya swali hilo ni nusu ya kupata mafanikio.

Moja ya tafiti ambazo ziliwahi kufanywa ni kwamba watu wengi hawana pesa kwa sababu kuu mbili, mosi kwa sababu hawatatui matatizo za watu. Sababu ya pili, watu wengi hawana pesa kwa sababu wanatatua matatizo machache, hivyo siri ya kubwa ya mafanikio yako ipo katika kutatua matatizo ya watu wengi katika njia ya tofauti na walivyozoea wengine.

3. Rahisisha majibu ya kazi
Watu wengi hupenda vitu ambavyo havina ugumu katika kufanya kazi, wetu wengi tunapenda kufanya kazi kwa kutumia njia rahisi na kupata majibu kamili tunayoyatarajia. Hebu angalia moja ya tajiri mkubwa dunia bwana Steve Job ambaye ni mmliki wa kampuni ya Apple, yeye alitazama jinsi watu ambavyo walikuwa wanatumia vifaa vya kietroniki kama simu za butani, desktop computer ambazo kimsingi zilikuwa ni vigumu hata kutembea nazo.

Hivyo Steve Job akaamua kutengeneza vitu hivyo hivyo kwa kuongeza thamani leo hii tunafurahia simu za apple na laptop za apple ambazo zina mambo mengi pia zinasaidia kurahisisha kazi na kuifanya dunia kama kijiji.

Kwa hiyo kama alivyofanya tajiri huyo ni wakati mwafaka kufikiri ni zipi kazi ngumu ambazo zinawakabili watu na kuweza kuzipa majibu ya ugumu huo.

Saturday, February 24, 2018

8:18 AM

Tangazo muhimu### Kama wewe ni kijana,mfanyabiashara,mjasiriamali unahitaji mkopo wa dharura sana wenye dhamana nafuu sana ??? , Soma hapa

 PATA  MKOPO HARAKA

#Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo kwa   dhamana rahisi sana ,Kampuni  hii   imesajiliwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye reg no 211495.

#Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania yenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

#Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

#Kama  unahitaji  mkopo  Unachotakiwa  ni  kufika  ofisini kwao    maeneo ya  Bunju  B, Ilala  Bungoni,Ubungo  mawasiliano,,,
 #Angalizo ili  Kuepuka  matapeli  wanaotumia  mitandao ya  kijamii  vibaya  kutapeli watu  kama  unahitaji  mkopo  kutoka  ZACK  FINANCE  lazima  ufike  ofisini  kwao  kwanza ,  Kwahiyo  hakuna  mkopo  utatolewa  na Zack  Finance    kupitia  facebook,Twitter,whatsapp  bila  kufika  ofisni  kwao  kwanza .....
 Kwa   habari  zaidi  tembelea  website  yao  ya  www.zackfinance.com 

Friday, February 23, 2018

7:39 AM

Tangazo muhimu### Kama wewe ni kijana,mfanyabiashara,mjasiriamali unahitaji mkopo wa dharura sana wenye dhamana nafuu sana ??? , Soma hapa

PATA  MKOPO HARAKA
#Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo kwa   dhamana rahisi sana ,Kampuni  hii   imesajiliwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye reg no 211495.

#Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania yenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

#Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

#Kama  unahitaji  mkopo  Unachotakiwa  ni  kufika  ofisini kwao    maeneo ya  Bunju  B, Ilala  Bungoni,Ubungo  mawasiliano,,,
 #Angalizo ili  Kuepuka  matapeli  wanaotumia  mitandao ya  kijamii  vibaya  kutapeli watu  kama  unahitaji  mkopo  kutoka  ZACK  FINANCE  lazima  ufike  ofisini  kwao  kwanza ,  Kwahiyo  hakuna  mkopo  utatolewa  na Zack  Finance    kupitia  facebook,Twitter,whatsapp  bila  kufika  ofisni  kwao  kwanza .....
 Kwa   habari  zaidi  tembelea  website  yao  ya  www.zackfinance.com 

Thursday, February 22, 2018

5:17 AM

Tangazo muhimu### Kama wewe ni kijana,mfanyabiashara,mjasiriamali unahitaji mkopo wa dharura sana wenye dhamana nafuu sana ??? , Soma hapa

Image may contain: 1 person
#Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo kwa   dhamana rahisi sana ,Kampuni  hii   imesajiliwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye reg no 211495.

#Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania yenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

#Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

#Kama  unahitaji  mkopo  Unachotakiwa  ni  kufika  ofisini kwao    maeneo ya  Bunju  B, Ilala  Bungoni,Ubungo  mawasiliano,,,
 #Angalizo ili  Kuepuka  matapeli  wanaotumia  mitandao ya  kijamii  vibaya  kutapeli watu  kama  unahitaji  mkopo  kutoka  ZACK  FINANCE  lazima  ufike  ofisini  kwao  kwanza ,  Kwahiyo  hakuna  mkopo  utatolewa  na Zack  Finance    kupitia  facebook,Twitter,whatsapp  bila  kufika  ofisni  kwao  kwanza .....
 Kwa   habari  zaidi  tembelea  website  yao  ya  www.zackfinance.com 

Wednesday, February 21, 2018

8:13 AM

Unahitaji mkopo wa dharura sana wenye dhamana nafuu sana ??? ,Fika ZACK FINANCE upewe mkopo haraka

Image may contain: 1 person
#Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo kwa   dhamana rahisi sana ,Kampuni  hii   imesajiliwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye reg no 211495.

#Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania yenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

#Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

#Kama  unahitaji  mkopo  Unachotakiwa  ni  kufika  ofisini kwao    maeneo ya  Bunju  B, Ilala  Bungoni,Ubungo  mawasiliano,,,
 #Angalizo ili  Kuepuka  matapeli  wanaotumia  mitandao ya  kijamii  vibaya  kutapeli watu  kama  unahitaji  mkopo  kutoka  ZACK  FINANCE  lazima  ufike  ofisini  kwao  kwanza ,  Kwahiyo  hakuna  mkopo  utatolewa  na Zack  Finance    kupitia  facebook,Twitter,whatsapp  bila  kufika  ofisni  kwao  kwanza .....
 Kwa   habari  zaidi  tembelea  website  yao  ya  www.zackfinance.com 

Monday, February 19, 2018

7:57 AM

Wajasiriamali na wafanyabiashara hii ni fursa muhimu kwenu, Mkopo wenye dhamana rahisi unatolewa

PATA  MKOPO HARAKA
#Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo kwa   dhamana rahisi sana ,Kampuni  hii   imesajiliwa na jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye reg no 211495.

#Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania yenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

#Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

#Kama  unahitaji  mkopo  Unachotakiwa  ni  kufika  ofisini kwao    maeneo ya  Bunju  B, Ilala  Bungoni,Ubungo  mawasiliano,,,
 #Angalizo ili  Kuepuka  matapeli  wanaotumia  mitandao ya  kijamii  vibaya  kutapeli watu  kama  unahitaji  mkopo  kutoka  ZACK  FINANCE  lazima  ufike  ofisini  kwao  kwanza ,  Kwahiyo  hakuna  mkopo  utatolewa  na Zack  Finance    kupitia  facebook,Twitter,whatsapp  bila  kufika  ofisni  kwao  kwanza ......


PATA  MKOPO HARAKA

Friday, February 9, 2018

12:43 PM

Hatua Tano(5) Rahisi Za Kuanzisha Biashara Inayotambulika Kisheria.

 Image result for business photos
Je biashara yako inatambulika kisheria? Yaani imesajiliwa na hivyo kukupa wewe nafasi ya kufaidi haki zako za kibiashara? Kama jibu ni hapana unasubiri nini?
Usajili wa biashara yako ni kitu rahisi na kina faida nyingi sana kwako na kwa biashara yako. Katika moja ya makala zilizopita tuliona faida za kuendesha biashara iliyorasimishwa (sajiliwa). Kama hukupata nafasi ya kusoma makala ile, isome hapa; 

Kama unataka kuanza biashara inayotambulika kisheria ni rahisi sana na ni vyema ukafanya hivyo.
Hatua ya kwanza; amua ni biashara gani unafanya na utafanyia wapi.
Kama tayari upo kwenye biashara, hatua hii umeshaipita. Kama ndio unataka kuanza biashara, amua ni biashara gani unataka kufanya.
Pia amua biashara hiyo utaifanyia kwenye eneo gani, kwa maana kwamba eneo la biashara au ofisi zitakuwa kwenye eneo gani, kulingana na mipango yako ya kibiashara.
Hatua ya pili; amua kama unataka kufanya biashara wewe mwenyewe au kuwa na kampuni.
Hatua ya pili muhimu ni kuchagua kama utafanya biashara kama mtu binafsi au kama kampuni. Kama utafanya biashara kama mtu binafsi unahitaji kusajili jina la biashara yako kwenye mamlaka ya usajili wa biashara (BRELA). Ni gharama ndogo kusajili jina la biashara na unaweza kufanya kupitia mtandao wa intaneti. Tembelea www.brela.go.tzna utaona sehemu ya kusajili jina lako la biashara.
Kama utahitaji kufanya biashara kama kampuni, utahitaji kuwa na mtu mwingine na kuandaa nyaraka za kisheria za namna mtakavyoendesha kampuni na kisha kuisajili BRELA. Kama utahitaji msaada kwenye kusajili kampuni wasiliana nasi.
Hatua ya tatu; pata namba ya mlipa kodi.
Baada ya kusajili jina la biashara au kusajili kampuni, unaenda kwenye ofisi za mamlaka ya kodi(TRA) kwa lile eneo unalofanyia biashara. Hapo utapatiwa namba ya mlipa kodi pamoja na kukadiriwa kodi utakayolipa kulingana na ukubwa wa biashara yako.
Hatua ya nne; pata leseni ya biashara.
Baada ya kupata jina au kampuni pamoja na namba ya mlipa kodi, unakwenda kwenye halmashauri ya eneo unalofanyia biashara na pale utaomba leseni ya kufanya biashara unayotaka kufanya. Gharama za leseni zinatofautiana kulingana na biashara unayofanya na eneo unalofanyia.
Utapewa taratibu za leseni na ukishazifanyia kazi utapatiwa leseni ya kuendesha biashara yako.
Hatua ya nne; pata leseni ya biashara.
Baada ya kupata jina au kampuni pamoja na namba ya mlipa kodi, unakwenda kwenye halmashauri ya eneo unalofanyia biashara na pale utaomba leseni ya kufanya biashara unayotaka kufanya. Gharama za leseni zinatofautiana kulingana na biashara unayofanya na eneo unalofanyia.
Utapewa taratibu za leseni na ukishazifanyia kazi utapatiwa leseni ya kuendesha biashara yako.
CREDIT BY  http://napendabiashara.co.tz/

Tuesday, February 6, 2018

1:51 PM

Hatua 10 za Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio

Image result for way to start business  PHOTOS
Watu wengi wamekuwa wakisita kuanza biashara kwasababu taratibu za kufuata zinaonekana kuwa ni ndefu sana. Lakini siri ya mafanikio imesemwa kuwa ipo kwenye “KUANZA”.
Kuanzisha biashara inahusisha mipango, na kufanya maamuzi muhimu ya kifedha na kukamilisha mlolongo wa taratibu za kisheria.
Mara baada ya kufanya hatua ya kwanza nyingine zitajipanga zenyewe. 
Zifuatazo ni hatua10 kukusaidia kupanga, kuandaa na kusimamia biashara yako: 
1. Mpango wa Biashara (Business Plan)
Imekuwa ikisemwa “Kama huna mipango basi unapanga kushindwa”. Hivyo kama una mipango ya kuanzisha biashara basi unahitaji Mpango wa Biashara.
mpango wa biashara ni hati ambayo inaelezea jinsi ya biashara itakuwa kukimbia.
Mpango wa biashara ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yako. Mpango wa biashara huonyesha dira ya miaka 3-5 mbele na huonyesha njia ambayo Kampuni inatarajia kuchukua kukua kimapato
Mwongozo huu utasaidia kukupa ramani ya jinsi gani ya kuanza na kuendesha biashara yako kwa mafanikio. 
2. Pata Elimu na Mafunzo ya Biashara
Biashara nyingi hushindwa kwa sababu wamiliki wanakosa ujuzi na elimu ya biashara .
Kama nyanja nyingine za maisha ili kufanikiwa katika biashara unahitaji kujifundisha jinsi ya kuendesha na kukuza biashara.
Pata Mshauri katika biashara na tafuta msaada wa kitaalamu. Weka kando bajeti kwa ajili hiyo.
Soma vitabu ili kuboresha maarifa yako katika usimamizi wa biashara na mahesabu ya fedha.
Kuna faida kubwa kwa kujiandikisha katika masomo ya jioni ya biashara katika chuo cha biashara katika eneo unaloishi 
3. Kuchagua eneo kwa ajili ya Biashara yako
Eneo muafaka kwa ajili ya biashara yako ni muhimu sana.
Kama unauza bidhaa mfano,kuweka duka katika ghorofa ya 10 inaweza kuwa si sahihi, unapaswa kuangalia nafasi katika ghorofa ya chini ambapo watu wanaweza kuja kwa urahisi. 
4. Kupata fedha kwa ajili ya Biashara yako
Unaweza hitaji kujiandikisha kupata mikopo katika benki.
Unaweza pia kuomba mkopo kutoka kwa rafiki au familia.
Kama una Mpango Biashara mzuri na wenye kushawishi kupata fedha inaweza kuwa rahisi.
Onyesha mpango wako kwa wakopeshaji fedha na unaweza ukafanikiwa.
Njia nyingine unaweza kuweka akiba kidogo kidogo kutoka katika vyanzo vyako vya sasa vya mapato mpaka mpaka itakapofikia kiwango cha kuanza biashara.
 5. Kuchagua Aina ya Biashara
Amua ni aina gani ya umiliki ni bora kwa biashara yako kati ya Umiliki Peke (Sole Propriatorship), ushirikiano (partnership), Kampuni (Limited Liability Company) au au Ushirika(Corporation).
Kuna athari za gharama katika uchaguzi wowote utakaofanya.
Kama wewe uko peke yako na hutaki shida katika usimamizi , basi unaweza ukahitaji kuwa Mmiliki Peke (Sole Propriatorship) .
Biashara aina ya Kampuni, Ushirikiano na Shirika huhusisha zaidi taratibu za kisheria na hutozwa kodi za juu zaidi.
Lakini ni machaguo pekee unayobaki nayo kama wamiliki ni zaidi ya mtu mmoja. 
6. Usajili wa Jina la Bishara
Utahitaji kuandikisha biashara yako kwa msajili wa makampuni wa serikali.
Michakato mingene inayofuata itahitaji kutumia jina la biashara kama vile vuchapishaji wa vitabu vya biashara, vifaa vya kujitangaza na usajili wa kulipa kodi 
7. Kujiandikisha kwa ajili ya Ushuru na kupata Nambaya Kulipia Kodi (TIN)
Utahitaji kuwa na Namba ya Mlipa Kodi ili kufanya aina yoyote ya biashara.
Mamla ya kodi itafungua akaunti kwa namba yako ya kodi ambamo malipo yako yote ya kodi yatahifadhiwa na kufuatiliwa. 
8. Kutengeneza Nyaraka za kampuni
Utahitaji kutengeneza nyaraka za biashara. Vitabu vya ankara, mikataba na vitabu vya fedha.
Alama ya kampuni(Logo),Vicha vya barua(letterhead) na Maelezo ya Kampuni (Company Profile) vitakuwa miongoni mwa vitu muhimu.
Vifaa vya matangazo kama vipeperushi na kadi za biashara ni muhimu sana kuzingatia .
Usisahau tovuti ya kuonyesha huduma zako na bidha 
9. Kupata leseni za biashara
Unahitaji kupata leseni ya biashara kuwa na uwezo wa kufanya biashara yako. Hii inatolewa na halmashauri ya jiji lako au manispaa.
Watatahmini biashara yako ili kufuzu na baada ya hapo leseni itatolewa na unaweza kuanza kazi.
10. Kuelewa majukumu ya mwajiri
Jifunze taratibu za kisheria zinazohitajika katika kuajiri wafanyakazi.
Ujifunze sheria za kazi na masuala ya kisheria unayohitaji kufuata kama mwajiri.
Ufahamu juu ya masuala ya kodi ya zuio(Withholding Tax) na pensheni ni jambo muhimu sana.
Kama utafuata hatua tajwa juu basi ni wazi utafanikiwa na kuwa nauhakika bishara yakoitaenda vyema na kwa udhabiti mkubwa
credit  by  / Bongoposts.com

Saturday, February 3, 2018

8:04 AM

Mbinu Tano(5) Za Kuiwezesha Biashara Yako Kukua Kwa Kasi Na Kwa Usalama

Image result for how to growth business photos
Hukuanzisha biashara ili iendelee kuwa ndogo miaka yote. Lengo lako kubwa la kuingia kwenye biashara lilikuwa uwe na biashara kubwa sana na yenye mafanikio, japo ulianza kidogo. Lakini mpaka sasa huenda huoni biashara yako ikikua kwa kasi ambayo ulikuwa unategemea.
Au huenda biashara yako ilikua kwa kasi sana lakini baadaye ukuaji ule ukasimama au hata biashara kuelekea kufa kabisa.
Unahitaji umakini sana ili kuweza kuikuza biashara yako kwa kasi na kuiacha ikiwa salama pia. Kwa sababu bila ya kuwa na mpango mzuri unaweza kuikuza biashara kwa kasi lakini ikawa haina usalama na hivyo kuelekea kufa
Leo   utajifunza mbinu tano zitakazoiwezesha biashara yako kukua kwa kasi huku ikiendelea kuwa salama.
1. Ajiri watu sahihi.
Huwezi kukuza biashara yako wewe mwenyewe. Na pia hutaweza kukuza biashara yako kama utaajiri kwa kigezo cha mtu anayeweza kupokea mshahara kidogo. Ajiri watu wenye uwezo na watakaokuwa na mchango mkubwa kwenye biashara yako.
Watu unaoajiri kwenye biashara yako wana mchango mkubwa sana wa kukuza au kuua biashara yako. Chagua watu ambao wataikuza biashara yako zaidi na hawa ndio uwaajiri.
Na hata baada ya kuwaajiri fanya nao kazi kwa karibu ili waweze kutoa mchango mkubwa kwenye biashara yako
2. Punguza hatari unazoweza kukutana nazo kibiashara.
Japokuwa unataka biashara yako ikue kwa kasi, usifanywe kipofu na hitaji hili na hivyo kujikuta unafanya maamuzi ambayo ni hatari sana. Ni muhimu kuzingatia kwamba maamuzi yoyote unayofanya kwenye biashara yana hatari, na hivyo kuangalia njia bora za kupunguza hatari hizo. Jiwekee vigezo ambavyo ni lazima vifikiwe ili kuweza kufanya maamuzi makubwa kwenye biashara yako.
Pia katika kupunguza hatari kwenye biashara yako, unaweza kukatia biashara yako bima ili kama kuna jambo usilotegemea likatokea unaweza kuendelea na biashara yako.
3. Kuwa tayari kubadilika.
Wafanyabiashara wengi wanaoanza biashara na kuonekana ina mafanikio makubwa mwanzoni lakini wanashindwa kwenda na mafanikio yale huwa wanasahau sehemu hii muhimu sana. Kama hupo tayari kubadilika, ni vigumu kwa biashara yako kukua kwa kasi.
Kama ambavyo tumekuwa tunaona, dunia ya sasa inabadilika kwa kasi sana. Biashara nazo zinabadilika kwa kasi kubwa. Kitu chenye faida leo kesho kinaweza kisiwe na faida kabisa. Biashara inayolipa leo kesho inaweza isiwepo kabisa. Jua mabadiliko yanakuja na jiandae kubadilika haraka.
4. Jali sana wateja.
Mtazamo wa wateja juu ya biashara yako ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako, kinaweza kukuza au kuua biashara yako. Kama wateja wanaridhika watafurahi na kuwaambia wengine. Kama hawaridhishwi watalalamika na kuwaambia wengine pia.
Wekeza muda wako kuhakikisha wateja wanapata huduma bora na mahitaji yao yanatimizwa.
5. Wekeza faida kwenye biashara yako.
Mbinu nyingine muhimu ya ukuaji wa biashara yako ni kuwekeza faida unayopata kwenye biashara yako. Wafanyabiashara wengi hufurahia kutumia faida wanayoipata pale biashara inapokua kwa kasi na hivyo kujikuta wakipunguza kasi ya ukuaji wa biashara zao.
Kuhakikisha wewe huwi kikwazo kwenye ukuaji wa biashara yako, wekeza sehemu ya faida kwenye biashara yako. Na hii itaifanya biashara kukua zaidi na zaidi.
Ukuaji wa kasi wa biashara yako unaanza na wewe mwenyewe. Ni vyema kutumia mbinu sahihi ambazo zitawezesha biashara yako kukua kwa kasi na wakati huo huo kuifanya iwe salama.
Kwa ushauri na mwongozo wa biashara piga simu 0713 666 445.
Kwa  elimu  ya biashara tembelea  zaidi  mtandao  http://napendabiashara.co.tz

Thursday, February 1, 2018

8:40 AM

WAJUE WASHINDANI WAKO KWENYE BIASHARA NA JINSI YA KUPAMBANA NAO

Katika biashara washindani ni watu muhimu sana na wana faida nyingi sana na moja wapo ikiwa ni kukufanya uongeze bidii katika biashara yako
Na katika biashara kuna aina kuu Tatu za washindani wa biashara ambazo ni
1. Direct competitors- Hawa ni washindani wa Moja kwa moja, Mfano kama wewe unafuga kuku basi wafugaji wenzako ni direct competitors, kama wewe unazaisha mikate basi wazalisha mikate wengine ni Direct competitors
2. Inderect Competitors- Hawa ni wale ambao wanazalisha bidhaa ambazo zinafanana au zinakaribiaan(close substute), wanazalisha bidhaa ambazo mteja badala ya kutumia bidhaa yako anaweza tumia hiyo nyingine
Mfano
– Watengeneza mikate- Inderect competitors wao ni- wapika mandazi, Keki, mihogo, viazi na kadhalika
– Wafuga kuku- Wafuga ngombe/bucha za ng,ombe nyama/ wauza samaki na kazalika
3, Feature competitors/Portential competitors- Hawa ni washindani ambao bado hawajaingia sokoni na na kutokana na triend ya industry wanaweza ingia muda wawaote, so hawa wanaweza kuwa ni wale watakao zalisha biadhaa zinazo fanana
NI MSHINDANI YUPI GANI NI HATARI KULIKO WENGINE?
1. Indirect Competitotors ndo washindani ambao inasemekana huwa wanaleta madhara makubwa sana kuliko hata Direct competitors na kudili nao huwa vigumu sana
Mfano
– Kampuni ya ndege ya Presision Air watakuwa wanapata ushindani mkubwa sana kwa upande wa Makampuni ya mabasi, mafano root za mwanza Dar, kwa sasa kuna mabasi kibao ambao mtu anaona bora apande basi ili kuokoa pesa
– Ukija kwenye swala la Ufugaji wa kuku, Hapa ni dhahiri kwamba, endapo kuku watapanda sana bei basi watu watakula nyama na samaki na maharage
UNAWEZAJE KUPAMBANA NA WASHINDANI WAKO?
1. KUSOMA WEBSITE YAKE, hii ni moja wapo ya njia za kuweza kutafuta habari kuhusu mshindani wako, kupitia website yake unaweza pata baadhi ya habari zinazo husu mshindani wako na jinsi anavyo fanya kazi
2. MAONESHO YA BIASHARA
– Hii ni njia ya pili ya kuweza kupata habari zinazo husu nshindani wako, unaweza huzuria maonyesho ambayo mashindani wako yupo na ukatembelea banda lake kupata habari zake, Inagawa hutapata habari zote za kumuhusu
3. NUNUA BIDHAA/HUDUMA ZAKE
Hii ni moja wapo ya njia ya kumsoma mshindani wako, kama wewe una Hoteli unaweza ukawa mara moja moja unaenda kula kwa washindani wako ili kuweza kujua wao wanafanyaje, hii ni moja wapo ya nia nzuri za kuweza kujua ubora wa bidhaa na baadhi ya feature zake na hata udhaifu utaupata
4. AJIRI MOJA YA WAFANYA KAZI WAKE
Hii ndo njia ambayo inaweza kukupa baadhi ya siri zinazo husu mshindani wako, kupitia kuajiri mfanyakazi wake unaweza pata habari nyingi sana za wao wanafanyaje, wanazalisha vipi, wanauza vipi, wana mpango gani kwa baadae, na hii njia hutumiwa hata hapa nchini Tanzania
NB: Hii njia huwa imekaa kiusiri kiasi kwamba ni vigumu kwa anaye ajiriwa kujua kama wanamspay
MFANO:
KAMPUNI YA TIGO WANAWEZA TANGAZA NAFASI ZA KAZI, na kwenye moja ya sifa wakasema TUNATAKA MFANYAKAZI ATOKE KWENYE THE SAME SECTOR OR INDUSTRY, so hapa moja kwa moja watakao apply ni wakutoka VODA, AIRTEL,ZANTEL na kazalika na kupitia interview na baada ya kukujili wataweza kupata habari nyingi sana
5. TUMA SHUSHUSHU. Peleka mtu wako afanye kazi kwa mshindani wako, Hii njia inatumika sana na ndo NJIA NAMBA MOJA NA YA UHAKIKA YA KUPAMBANA MSHINDANI WAKO, ILA NI YA HATARI SANA,
China wametumia sana hii njia na walikuwa wanapeleka watu kufanya kazi kwenye viwanda mbalimbali duniani na kuiba siri mbalimbali na kuzituma kwao,
Makampuni mengi sana hutuma mashushushu wao kwenye washindani wao ili wakaibie baadhi ya siri za kampuni, Mfano TBL inaweza kuwa na mashushu wake kule Serengeti bia, na VODA anaweza kuwa na mashushu wake kule Tigo, Ila hii njia ni ya hatari sana kwani wakikugundua wanaweza kukufanyia kitu mbaya
NA KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI ZILE IDARA NYETI ZENYE UMUHIMU MKUBWA HUWA WAFANYAKAZI WAKE WANAAPISHWA NA HATA KULINDWA KILA MAHALI WANAPO ENDA, chukulia mfano wapika KIMEA kwenye kampuni za bia hawa wanabebelezwa sana make ndo wameshikilia uhai wa kampuni
Nchi kama URUSI wale wafanya kazi wa viwanda vya makombola huwa wana mji wao wenyewe na hawaruhusiwi hata kutoka nje ya nchi yao
6. ULIZA WATEJA
Wateja wanao kuja kununua kwako nao wanaweza kukupa information za kuhusu washindani wako, UNAWEZA KUWAULIZA HIVI
– Mwazoni ulikuwa unanunua wapi?
– Kwa nini umekimbia hapo?
– Vipi bei yao?
– Vipi ubora wa bidhaa zao?
Hapa unaweza kuamua kuweka form maalum kwaajiri ya maoni na kukusaidia wateja kuijaza baada au kabla ya kutumia bidhaa zako.
 CREDIT BY  MK8 Business Consulting

Wednesday, January 31, 2018

1:22 PM

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Related image
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. 

HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA

1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako?

Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe

2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA
Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa?

Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea?

Kam unapenda gardening unaweza anza biashara ya kufanya landscape gardening.

3. NUNUA BIASHARA AMBAYO TIYARI IPO
Ukishindwa kabisa kupa wazo mwanana unaweza nunua biashara ya mtu mwingine na kuindeleza, siku hizu kuna biashara kibao zinauzwa kwa sababu mbalimbali so unaweza nunua nu kuendelea nayo

4. KUNUNUA FRANCHISE
Hii ni moja ya njiza zinazo tumika kwa sasa na sehemu nyingi sana, Unaweza nunua Popular Brand na kuifanyia kazi, Ingawa mara nyingi kuna mashariti ya kuambatana ikiwemo kuhakikisha unatoa huduma sawa na Brandi yenyewe, nah ii ni popular sana katika MAHOTELI/MIGAHAWA, MASUPERMARKET NA MADUKA MENGINE.

Na usijalibu kutumia Brand ya Kampuni Fulani bila kuwapa Taarifa make inaweza kula kwako na ukajikuta unafilisiwa.

Na ilisha wahi kutokea kwa Kampuni ya Mabasi ya SABENA baada ya kutimia jina la Shirika la Ndege la Ubeligiji, Ila sijui walimalizana vipi, make jamaa bado wanalitumia

5. TUMIA PERSONALITY YAKO
Kuna watu unakuta either ni Mrembo sana, Handsome na kazalika, unaweza utumia huo urembo na uhendsaamu kufanya biashara, either za marketing na kadhalika.
6. NINI KINAKOSEKANA MTAANI?
Tazama ni kitu gani hakipo hapo mtaani and then geuza kuwa opportunity, inaweza isiwe ni mtaani ikawa ni kazini kwako, Kijijini kwenum au maeneo unayo enda kustarehe.

-Ni kitu gani huwa kinaleta usumbufu kwako na kukuchukulia muda mwingi na pesa nyingi?
- Ni huduma zipi hazipo kabisa mtaani kwako? Na ambazo ni za muhimu?
-Ni bidhaa zipi ambazo ni vigumu kuzipata mtaani kwenu?
-Ni kitu gani, wewe, Ndugu, Majirini huwa wanakilalamikia sana mtaani hapo?

7. UTALII KATIKA MAENEO YAKO
Hii nayo ni moja ya wazo, so unaweza angalia furusa za utalii kwenye maeneo uliyopo au hata kwingine na kuyafanyia kazi.
8. TUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUANZISHA BIASHARA
Angalia mfumo wa maisha wa sasa ulivyo, vitu vinavyo tumika kwa sasa na vinavyo tumiwa na watu wengi, so mfumo wa maisha wa watu kwa sasa unaweza kukuongoza kuja na wazo la Biashara.

9. ANGALIA MAKAMPUNI MAKUBWA NA TAASISI NYINGINE WANAHITAJI NINI?
Unaweza tumia uwepo wa makampuni Fulani au taasisi Fulani maeneo yako kutengeneza wazo la biashara, taasisi kama Shule, vyuo, Hospitali, Makampuni kama Viwanda Migodi na kadhalika, angalia ni kipi hawa watu wanaweza kuwa wanahitaji kwa wingi.

10. UNAWEZA KUANGALIA KUHUSU KUUZA BIDHAA ZA WENGINE
Unaweza ukawa unauza bidhaa za watu wengine, unachukua na kuuza 

11. ANGALIA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI
Kuna chaneli huwa zina makala mazuri sana ya kiuchumi na biashara, hata TBC huwa ina makala Fulani nzuri sana, na kuna chaneli za kimataifa siku huzi kazi yao ni hiyo tu, ni kuonyesja ubunifu wa wajasirimali, so TV, radio na magazeti yanaweza toa mchango w akutosha kwa wewe kupata wazo la biashara

12. COPY BUSINESS IDEA AMBAYO IMEFANIKIWA KWINGINEKO
Hii ni moja ya njia zinazo tumika kwa sasa, unaweza copy idea kutoka hata India, China, na kwingineko na ukaja kuifanyia kazi huku kwa kufanya marekebisho madogo kulingana na mahitaji ya eneo husika

13. TUMIA NJIA ZOTE ZA KIUTAFITI KUPATA WAZO LA BIASHARA
- Maonyesho ya biashara
- Magazeti,
- Kwenye taasisi za uma zinazo husika na biashara
- Kwa marafiki.

14. UNAWEZA GUNDUA KITU?
Unaweza ukaja na ugunduzi wako kama walivyo fanya wakina Thomas Edson Michael Dell na wengineo, na ikawa ndo mwanzo wa mafanikio kwako

SO HIZO NI MOJA YA NJIA ZA KUTUMIA, INGAWA BADO KUNA NJIA NYINGI TU ZA KUFANYA ILI KUPATA WAZO LA BIASHARA LILILO BORA