Header Ads

ad

About UsABOUT TANZANIA CLASSIC
No automatic alt text available.

Mtandao wa www.tanzaniaclassic.com ulianzishwa mwaka 2015 na Respicius Francis wakati huo akiwa bado ni mwanafunzi chuo ,

Repicius Francis alianzisha mtandao wa www.tanzaniaclassic.com baada ya kushawishiwa na rafiki yake Peter Seda ambaye alimtaka Respicius Francis kuanzisha mtandao kutokana na kuwa na ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa facebook ambapo aliamini endapo Respicius Francis angeanzisha mtandao ungepata watembeleaji wengi na wafuasi wengi ambao wangefatilia mtandao wake..

Respicius Francis alikubali kusikiliza ushauri wa rafiki yake Peter Seda ndipo aliamua kuanzisha mtandao wa www.tanzaniaclassic.com mwaka 2015 ambapo mpaka muda huu unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki ..Pia Peter Seda ndiye aliyejitolea kudesign mtandao wa www.tanzaniaclassic.com bure kabisa baada ya kutambua kipaji cha Respicius Francis.......

Respicius Francis wakati anaanzisha mtandao wa www.tanzaniaclassic.com hakuwa na vifaa muhimu mfano laptop ,Kamera ambavyo vingemsaidia kuendesha mtandao huo kutokana na uwezo wake wa kifedha kuwa mdogo sana wakati huo.

Respicius Francis alianza kupambana kuhakikisha anapata vifaa vitakavyo saidia kuendesha mtandao,Bahati nzuri alifanikiwa kumpata rafiki yake Samson Ndosi ambaye alijitolea kumdhamini Respicius Francis kununua vifaa muhimu kuhakikisha mtandao unaanza kazi rasmi 
mwaka ,Ukumbukwe Respicius Francis na Samson Ndosi walifamiana kupitian mtandao wa facebook.

Respicius Francis ameendelea kuendesha mtandao wa www.tanzaniaclassic.com ambayo unazidi kujizolea umaarufu mkubwa Afrika mashariki ambapo kazi kubwa ya mtandao huu ni kutoa habari za kisiasa,kiuchumi,kitemaduni,kiburudani,kijamii,