Header Ads

ad

Kutana na Mwanadiplolmasia Gaston Sindimwo makamu wa kwanza wa rais nchini Burundi

  Tokeo la picha la Gaston Sindimwo photos
Mwanasiasa Gaston Sindimwo makamu wa kwanza wa rais nchini Burundi
#Abeba jukumu la kumwaakilisha rais Pierre NKURUNZIZA  katika misadar ya nje ya nchi tangu jaribio la upinduzi la mwaka 2015 mwezi wa Meyi.
#AonyeSha uwezo mkubwa wa diplolmasia Afrika mashariki na dunia  nzima

#Gaston Sindimwo amezaliwa mwaka (born 1965) mjini Bujumbura nchini Burundi ambapo alipata elimu yake ya msingi na sekondari nchini humo.
#Gaston Sindimwo alipata elimu yake ya juu nchini UGANDA yani "
Bachelor of Diplomacy and International Relations" katika chuo cha ST.
Lawrence University ya Kampala-OUganda. .....
Picha inayohusiana
#Gaston Sindimwo ni muasisi wa  chama cha the Union for National
Progress (UPRONA), ambacho ndicho chama kilichopigania uhuru wa Burundi
mwaka 1962 ...
#Baada ya jaribio la mapinduzi ambalo lilitokea nchini Burundi mwaka
2015 imekuwa ni adimu sana rais pierre nkurunziza kutoka nje ya Burundi ambapo mara nyingi amekuwa anawakilishwa na Gaston Sindimwo ambaye ni makamu wa kwanza nchini Burundi 

#Gaston Sindimwo baada ya kubeba jukumu hilo nzito la kuwakilisha nchi ya Burundi nje ya nchi hasa kwenye mikutano muhimu nilishawishika zaidi kutaka kumjua Gaston Sindimwo Ki undani ...
#Ukisikiliza mahojiano ambayo Gaston Sindimwo amekuwa anafanya na vyombo vya habari utagundua ni kiongozi mwenye diplomasia ya hali ya juu sana, Pia ni kiongozi mwenye hekima na busara tofauti na viongozi wengine wa Afrika,, 

Tokeo la picha la Gaston Sindimwo photos
#Nilitaka kujua kwanini Gaston Sindimwo amepewa jukumu hilo na rais pierre nkurunziza katika wakati mgumu kama huu  la  kumwaakilisha  nje  kwenye  mikutano ya  kimataifa  ??Jibu ambalo nilipata ni kwamba
Gaston Sindimwo ana uzoefu mkubwa sana kwenye maswala ya Diplomasia ya
kimataifa,Ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuitetea
kwenye mikutano ya kitaifa ,Pia Mtu
mwenye ufahamu wa siasa ya kimataifa,Na ni mzalendo anayependa  taifa  lake
#Pia zipo  taarifa za uhakika kuwa Gaston Sindimwo kutokana na uwezo wake
kidiplosimasia amekuwa na uhusiano wa karibu sana na ma rais kutoka Afrika na dunia nzima hali hiyo umsaidia kufikisha hoja za Burundi katika
jumuiya ya kimataifa kwa urahis sana,

#Wachambuzi wasiasa kutoka nchini ya Burundi
wanasema Gaston Sindimwo ni kiungo muhimu katika serekali ya Burundi na
jumuiya za kimaita ndio maana rais Pierre Nkurunziza alicjukuua hatua ya
kumteua kuwa makamu wake wa kwanza ambaye amekuwa amemwakilisha kwenye
mikutano muhimu nje ya nchi,,,,,
Tokeo la picha la Gaston Sindimwo photos
#Gaston Sindimwo yeye ni miongon mwa wanasiasa wachache wenye cheo kijubwa ndani ya BURUNDI ambao hakuwahi kuingia msituni au kuwa mwanajeshi Kama walivyo wanasiasa wengi nchini Burundi ambao wana vyeo vikubwa.
#Pia ni kati ya mwanasiasa ambaye  anapenda kutoa ushirikiano mkubwa kwa vijana mbalimbali kutoka barani Afrika nzima  kwa nguvu zote  ndio  maana kila  pembe ya AFRIKA  ana marafiki wengi  sana  ambayo  ni vijana 
#Mheshimiwa SINDIMWO ni baba wa familia na watoto wawili ambao  ni  wasichana.
#Anapenda saaaana kucheza mpira wa Volleyball.

Makala hii itaendeleya hapo baadae kwa undani zaidi kuhusu umahiri na ufanya kazi wake kama Mwana siasa.

makala  imeandikwa  na RESPICIUS  FRANCIS
                                     CONTACTS  +255755  515906
                                     WHATSAPP  +255755 515906