Breaking

Sunday, June 3, 2018

Video: Wachezaji wa Real Madrid wamlilia Zinedine Zidane kwa staili ya aina yake


Licha ya kuwa kocha pekee barani Ulaya kuisaidia timu yake ya Real Madrid kutwa taji la UEFA kwa nyakati tatu mfululizo Zidane amekuwa miongoni mwa makocha wanaoheshimika sana pia maarufu mwenye sifa nyingi nzuri.Mfaransa huyo ameamua kuikacha timu yake ya Real Madrid kama kocha na kukimbilia nchini Qatar huku wachezaji wake wakimuaga kwa majonzi ya aina yake kwa kutumia akaunti zao za mitandao ya kijamii.Post a Comment