Header Ads

ad

Polisi wasema Nondo alikwenda kwa Mpenzi wake huko Iringa wala hatutekwa.Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum DSM, Lazaro Mambosasa amesema kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo hatutekwa. Aidha amesema uchunguzi umebainisha kuwa alikwenda Mkoani Iringa kwa mpenzi wake