Header Ads

ad

Mzee Mengi pamoja na mkewe afungua pazia la kuchukua hati mpya ya kusafiria (Video)

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi pamoja mke wake, Jacqueline Mengi Ijumaa hii wamefungua pazia la kuchukua hati mpya za kusafiria za kielekroniki ikiwa ni siku chache toka Rais John Pombe Magufuli azindue mradi huo mpya. Hati hiyo amekabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Anna Makakala.

Mzee Mengi alisema hati hiyo ni mzuri na itaondoa usumbufu ambao ulikuwa ukijitokeza pale Mtanzania anapopata matatizo akiwa nje ya nchi.