Header Ads

ad

Fursa muhimu kwa vijana kutoka chuo JITA Vocational Training College-JVTC

   Fursa  muhimu  kwa vijana kutoka chuo JITA Vocational Training College-JVTC  

Image may contain: one or more people, people sitting and indoor
Zama zimebadilika! zamani ufundi ushonaji ulichukuliwa kama FANI ya watu ambao hawajasoma... siku hizi tunaona wabunifu wengi wa mitindo ni wasomi, Uzuri wa fani hii haijalishi umesoma mpaka level gani, pia ukiwa na fani hii hukosi wateja kwani kila mtu anahitaji nguo. 
Image may contain: one or more people, people sitting and indoor
Pata kozi hii kwa ada ya sh. 230,000 tu day na boarding 990,000 kwa muda wa miezi 6. Utajua, kushona nguo zote za kike na za kiume kwa ufasaha + koti,

 Isikutishe, unaweza kulipa kwa awamu hadi 4 (boarding). Chuo kipo Morogoro, Kihonda Barabara Mpya. Wasiliana nasi 0752 698 691 au 0658 698 691... Ukiwa na fani hii kulala njaa umeamua mwenyewe!  ...Wahi nafasi mapema

No automatic alt text available.

JITA Vocational Training College-JVTC