Header Ads

ad

Huyu ndiye mwanzilishi wa kikundi cha waasi cha Rwandan Patriotic Front ambacho kwasasa ndicho chama tawala nchini Rwanda

Image may contain: 1 person, closeup
#Enzi hizo #ENZI HIZO 
huyu ndiye mwanzilishi wa kikundi cha waasi nchini cha Rwandan Patriotic Front ambacho kwasasa ndicho chama tawala nchini Rwanda ...
#Anaitwa Major-General Fred Rwigyema ambaye alikuwa ni mwanajeshi na kamanda hatari ukanda wa maziwa makuu 
#Fred Rwigyema nia kati ya makanda wenye historia ndefu sana katika ukanda wa nchi za maziwa makuu.Image may contain: 1 person, smiling, hat and closeup

#Major-General Fred Rwigyema amezaliwa mwaka 1957 katika kijiji cha Gitarama nchini Rwanda huku akitokea katika kabila la watutsi ambapo mwaka 1960 familia yao ilihamia nchini UGANDA
#mwaka 1976 baada ya kumaliza shule alijiunga na kundi la waasi Front for National Salvation (FRONASA) ambalo lilikuwa linaiongozwa na Yoweri Museven ambapo kwasas ni Rais wa Uganda lakini baada miaka baade Fred Gisa Rwigyema aliondoka kwenda kujiunga na kundi la waasi la FRELIMO nchini Mozambique kwenda kupambana na utawala wa kileno
#Mwaka 1979 Major-General Fred Gisa Rwigyema alijiunga na kundi la waasi National Resistance Army (NRA) ambalo lilikuwa kiongozwa na Museveni kuondoa utawala wa rais Milton Obote. madarakani
# Baada Fred Rwigyema akiwa yoweri Museveni kufanikiwa kuondoa serikali ya rais Milton Obote. madarakani nchini Uganda alichaguliwa naibu waziri wa ulinzi nchini Uganda.
#Mwaka 1990 Fred Rwigyema alianzisha kikundi cha waasi akiwa pamoja Paula Kagame cha Rwandan Patriotic Front kwenda kupambana na serikali ya Juvénal Habyarimana nchini Rwandwa.
#mwaka 1990 Fred Rwigyema akiwa ni siku mbili amevamiwa nchini Rwanda pamoja na kundi lake wa waasi Rwandan Patriotic Front aliuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa ambapo Paul Kagame alichukua nafasi ya kuongoza kundi hilo mpaka walipofanikiwa kupindua serikali ya Habyarimama Juvenal mwaka 1994
#Kwa lugha nyingine uwezi kutaja mafanikio ya kisiasa ya Paul Kagame bila kusahau kutaja jina la kamanda Fred Rwigyema
#Uwezi kutaja mafanikio ya Museven mpaka kufanikiwa kupindua serikali ya rais Milton Obote madarakani bila kusahau kutaja jina la Major-General Fred Rwigyema


Imeandikwa  kwa  Respicius Francis  kupitia  ukurasa  wake  wa facebook  

Unaweza  kumfollow Respicius Francis  kupitia  ukurasa  wake wa facebook