Header Ads

ad

Huyu ndiye mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu nchini Rwanda,Aliuawa mwaka 1994

Image may contain: 1 person, outdoor
#Anaitwa Agathe Uwilingiyimana ambaye alizaliwa mwaka 1953 na kufariki mwaka 1994 kwa kuuawa 
#Agathe Uwilingiyimana alijulikana kwa jina maarufu Madame Agathe nchini Rwanda eni hizo.
#Agathe Uwilingiyimana ni kati ya wanawake ambayo walikuwa na nguvu kisiasa pamoja na ushawishi mkubwa nchini Rwanda 
#Agathe Uwilingiyimana ndiye alikuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Rwanda kutokea tarehe 18 .7.1993 mpaka 7 .7. 1994 alipouawa kwa kupigwa risasi
#Kutokana na harakati zake nchini Rwanda mwaka 1992 Agathe Uwilingiyimana alijiunga na chama cha upinzani cha Republican Democratic Movement (MDR),
#Miezi baadae aliteuliwa kuwa waziri wa elimu na Dismas Nsengiyaremye ambaye alikuwa waziri mkuu wa Rwanda wakati huo, 

Image may contain: 1 person, sitting and outdoor
#Mwaka 1993 ambapo Rais wa Rwanda Juvénal Habyarimana kufanya mkutano na vyama vya upinzani alimchagua Bi: Agathe Uwilingiyimana kuwa waziri mkuu kwenye serikali ya mseto ..
#Baada ya kifo cha rais Habyarimana nchini Agathe Uwilingiyimana ndiye alikuwa mkuu wa nchi kulingana katiba ya Rwanda wakati huo.
#Bi :Uwilingiyimana aliuawa yakiwa yamepita masaa 14 baada ya kuuawa kwa rais wa nchi hiyo Habyarimana baada ya ndege yake kupigwa kombola
# Baada ya kuuawa rais Habyarimana nchini Rwanda Bi: Agathe Uwilingiyimana alifanya mahojiano na radio ya Radio France kwa kutamka kuwa waliohusika kumuua rais
Habyarimana watasakwa na kukamatwa,,,

Image may contain: 1 person, standing, plant and outdoor
# Bi; Uwilingiyimana aliuawa kwa kupigwa na rocket muda wa saa mbili asubuhi zikiwa zimepita saa 14 baada ya kuuawa rais wa nchi hiyo
Rais wa Rwanda marehemu Habyarimana, Imeandikwa  kwa  Respicius Francis  kupitia  ukurasa  wake  wa facebook  
Unaweza  kumfollow Respicius Francis  kupitia  ukurasa  wake wa facebook