Header Ads

ad

MHE EMMANUEL MCHIMBI AAHIDI GARI KWA SONGEA BOYS
LEO LEO TENA SONGEA BOYS. NI SHEREHE YA KUKATA NA SHOKA YA KUAGA VIJANA WA FORM FOUR 2014. MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA NA MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA DR EMMANUEL JOHN NCHIMBI NDIYE MGENI RASMI. MEYA WA MANISPAA PIA ALIKUWEPO WAKUU WA SHULE WA SONGEA GIRLS, MLETELE SECONDARY, BOMBAMBILI SECONDARY SCHOOL, MAZOEZ MATOGORO SEC SCHOOLS. VIJANA WASIOONA WASOMA RISALA. DR NCHIMBI AAHIDI GARI SONGEA BOYS. HII NI BAADABA  YA LORRY KUCHAKAA,

  MHE  MCHIMBI   AKIONGEA  NA  MWALIMU  MKUU  WA  SHULE  YA  SONGEA   BOYS